Siku ya Alaf - Kampuni imeadhimisha miaka 58

Siku ya Alaf - Kampuni imeadhimisha miaka 58

meeting

Yalikua ni maamuzi ya Furaha yalioyoungwa mkono kwa pamoja baina ya wafanyakazi na uongozi wa kampuni.

Wengi wao walipata nafasi yakuweza kujuanana wenzao na pia kufahamiana zaidi. Kulikua na michezo mabali mbali, kucheza mziki na kufurahi kwa pamoja, lilikua ni zoezi zuri sana la kujenga timu ya wafanyakazi na uongozi. Kauli mbiu ya siku hio ilikua “Pamoja tunaweza kufanya vitu vizuri”. Timu nzima ya ALAF ilijitahidi kuifanya siku hiyo kuwa nzuri na ndivyoi livyo kua.

This year ALAF celebrated the 58th anniversary of its incorporation on 7th October 1960.

It was a happy decision to mark the day, with the support of workers, Trade Unions and Management.

Many got a chance to interact and get to know each other a bit better. There were games, dancing and fun, and it was a great Team building exercise. The theme for the day was “Together we can do great things”. The entire ALAF team worked very hard to make the day the huge succes

 

winner